Naomba Mnipe Jibu Mnaoshupalia Swala La Kigezo Cha Penati Nyingi/Chache!

G4rpolitics

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Posts
4,369
Reaction score
5,248
Sasa ndo wote tunalingana magoli, ikatokea wote tulipata penati sawa kwa sawa za kupiga (mfano penati 5 kila mmoja), mimi nika zifunga zangu zote, ndo zika add up kwenye yale magoli tunayolingana, na mwenzangu kafunga 2 tu na ikaziongezea kwenye yale magoli yake tunayolingana, je, yule mwenzangu atapata sifa kwa sababu alifunga penati chache, mi niliyefunga nyingi ndo nikakosa zawadi? Hebu tuweke ushabiki pembeni kwanza.
 
Tff watatoa mrejesho,tuwe watulivu
 
Kinachoangaliwa ni Magoli tu. Penati ukishakosa hiyo siyo Goli. Usitake tuanze kuangalia pia nani alikosa magoli ya wazi.

Msipende juishi kwa hisia.

Hili lilishafafanuliwa msimu uliopita na BODI YA LIGI.
Screenshot_20230609-201040.jpg
 
Back
Top Bottom