G4rpolitics
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 4,369
- 5,248
Tff watatoa mrejesho,tuwe watulivuSasa ndo wote tunalingana magoli, ikatokea wote tulipata penati sawa kwa sawa za kupiga (mfano penati 5 kila mmoja), mimi nika zifunga zangu zote, ndo zika add up kwenye yale magoli tunayolingana, na mwenzangu kafunga 2 tu na ikaziongezea kwenye yale magoli yake tunayolingana, je, yule mwenzangu atapata sifa kwa sababu alifunga penati chache, mi niliyefunga nyingi ndo nikakosa zawadi? Hebu tuweke ushabiki pembeni kwanza.
Kinachoangaliwa ni Magoli tu. Penati ukishakosa hiyo siyo Goli. Usitake tuanze kuangalia pia nani alikosa magoli ya wazi.Sasa ndo wote tunalingana magoli, ikatokea wote tulipata penati sawa kwa sawa za kupiga (mfano penati 5 kila mmoja), mimi nika zifunga zangu zote, ndo zika add up kwenye yale magoli tunayolingana, na mwenzangu kafunga 2 tu na ikaziongezea kwenye yale magoli yake tunayolingana, je, yule mwenzangu atapata sifa kwa sababu alifunga penati chache, mi niliyefunga nyingi ndo nikakosa zawadi? Hebu tuweke ushabiki pembeni kwanza.