hm,mi sipo ndoani ila naomba nikushaur kutokana na uwezo wa kichwa changu kilipofikia;kwanza kabisa pole kwa yaliyokukuta,kila ndoa animatatizo yake,kumwacha mkeo si busara au suruhisho,uliweza kumsamehe mara kadhaa,msamehe na kwahili,naiman na kuamin unampenda sana mkeo ndo mana upo nae hadi leo,jaribu kukaa nae kinafasi ya urafiki sio kimume...muulize vizur huku ukimtoa wasi,labda sahizi anashindwa kukuambia cz anaogopa kuachwa.asipokuambia jaribu kushirikisha na wazaz au ndugu wowote unaoona wao wanauwezo wa kukusaidia swala hili, kimsaada zaid.