Naomba mnipokee member mpya

Naomba mnipokee member mpya

Rufaro

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2022
Posts
222
Reaction score
342
Hello! Leo naomba mnikaribishe mdau mpya kwenye jukwaa hili linalowakutanisha watu mbalimbali kujadili mada mbalimbali. Natokea kanda ya kaskazini, jinsia yangu ni MWANAUME.

Naamini kupitia hapa ntapata marafiki wapya katika nyanja mbalimbali ikiwemo biashara, kazi, kijamii, n.k.. na pia shauri mbalimbali katika masuala mbalimbali ambayo ntakua naombea ushauri.

Asanteni.
 
Kumradhi hamna jinsia ya MWANAUME ila kuna jinsia ya Kiume

Eneweii
Utatakiwa kutuma picha tatu za pasport majina matatu bila kusahau la ukoo
Namba za nida au kitambulisho
Saini yako
Cheti cha Kidato cha nne au cha sita
Na fomu ya idhini ya mtendaji wako wa mtaa au mjumbe.
😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
 
Kumradhi hamna jinsia ya MWANAUME ila kuna jinsia ya Kiume

Eneweii
Utatakiwa kutuma picha tatu za pasport majina matatu bila kusahau la ukoo
Namba za nida au kitambulisho
Saini yako
Cheti cha Kidato cha nne au cha sita
Na fomu ya idhini ya mtendaji wako wa mtaa au mjumbe.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji2][emoji2][emoji2] asante kwa marekebisho ndugu.
 
Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.
 
Back
Top Bottom