Naomba mnipokee

Naomba mnipokee

Karibu lakini usije kuwa mamluki wa Escrow ukaja kutuchafulia upepo humu ndani.
 
Karibu,umekuja kipindi kizuri sana tunafuta mtu tumfungishie mabo.mu akiripue bunge zima maana wote hawana maana.
Tunatoa $ billion 361.
 
karibu ila na ww usianze tabia za ku cc watoto wa kike, wameshachoka na kufatwa fatwa.
 
Karibu mama mimi ndio mandingo naku pm eeeh...
 
Sijakuelewa

nina maanisha kuna mijitu humu haiwezi kuweka hoja bila kusema "cc mamaatwitter, cc missmkulya" n.k. nadhani ni kwasababu hoja zao hazina msingi/uzito ndio maana hulazimisha sapoti kutoka kwa watoto wa kike. maana akiungwa mkono na papuchi...wengine hata mponde, mnaonekana mafala tu
 
Back
Top Bottom