Naomba mnipokee

safari G.

Senior Member
Joined
Jun 29, 2015
Posts
108
Reaction score
71
Baada ya kuwa member nikiwa nje ya Jamvi kwa kipindi kirefu, kwa heshima naomba kuungana na wanajamvi ili kuwakilisha na kuchangia mambo ya msingi yanayo tuzunguka katika jamii.
Asanteni wakuu.
 
Karibu sana tunategemea kupata mengi kutoka kwako.
 
Karibu sana ndugu. Jisikie uko kwenu (tunashare hii nyumba. Taratibu usimkanyage mwenzio)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…