Naomba mnisaidie dawa ya kuondoa chunusi

Naomba mnisaidie dawa ya kuondoa chunusi

naomi1

Senior Member
Joined
May 1, 2018
Posts
109
Reaction score
73
Naomba mnisaidie dawa yakuondoa chunus ndogondogo juu ya uso
Nitumie nn au dawa gani ili zikauke
 
kama wa kike njo tu, tusaidiane maana mi mwenyewe ninazo nyingi kweli na nimejaribu dawa zote za juzi nimeenda duka moja wakasema kaka una mke nikasema hapa mpenzi hapa wakadai nitafute inaweza saidia.
 
Back
Top Bottom