naomi1 Senior Member Joined May 1, 2018 Posts 109 Reaction score 73 May 14, 2018 #1 Naomba mnisaidie dawa yakuondoa chunus ndogondogo juu ya uso Nitumie nn au dawa gani ili zikauke
sky walker JF-Expert Member Joined Feb 3, 2018 Posts 1,160 Reaction score 831 May 14, 2018 #2 kama wa kike njo tu, tusaidiane maana mi mwenyewe ninazo nyingi kweli na nimejaribu dawa zote za juzi nimeenda duka moja wakasema kaka una mke nikasema hapa mpenzi hapa wakadai nitafute inaweza saidia.
kama wa kike njo tu, tusaidiane maana mi mwenyewe ninazo nyingi kweli na nimejaribu dawa zote za juzi nimeenda duka moja wakasema kaka una mke nikasema hapa mpenzi hapa wakadai nitafute inaweza saidia.