Naomba mnisaidie hapa kuhusu J.K.T

DAVID PETER

Member
Joined
Feb 23, 2013
Posts
43
Reaction score
12
Hivi form six tunaomaliza mwezi ujao tunaenda JKT?.Naomba unisaidia.
 
[h=5]tangazo la kujiunga na jeshi la kujenga taifa (jkt) kwa mujibu wa sheria mwaka 2014[/h]
jeshi la kujenga taifa (jkt) linawatangazia vijana watakaomaliza elimu ya sekondari kidato cha sita mwezi mei 2014 kuwa watajiunga na jeshi la kujenga taifa (jkt) kwa mujibu wa sheria mwezi juni 2014, kwa utaratibu utakaotolewa mwishoni mwa mwezi aprili 2014 na makao makuu ya jeshi la kujenga taifa (jkt).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…