Naomba Mnisaidie Hili Neno, ni Matahira au Matahila?

Naomba Mnisaidie Hili Neno, ni Matahira au Matahila?

Joined
Nov 10, 2015
Posts
25
Reaction score
42
Msaada wenu uwe wa hakika maana ninataka kutumia neno hilo sehemu hivyo nimechanganywa sana na usahihi wake kwakuwa nakutana na sentensi zinazoyatumia yote kwa maana moja hivyo nikumbusheni wakuu
 
Tuambie Unatakakuitumia wapi kwanza,ndio tukusaidie.

Kama ni kwa maccm basi inayotumika ni hiyo isiyo sahihi, kuonyesha msisitizo!
 
Back
Top Bottom