Naomba Mnisaidie;Kubadili course UDOM

Naomba Mnisaidie;Kubadili course UDOM

frontline7

Member
Joined
Sep 26, 2013
Posts
31
Reaction score
25
Ni matumaini yangu great thinkers mko poa...naomba anayefahamu kama kuna uwezekano wa kubadili course UDOM anifahamishe tafadhali (kuhama kutoka course moja kwenda nyingine) thanks..

Sent from me
 
itakua rahisi kama hiyo course unayotaka kuhamia iko college moja na hyo uliopo
 
Mimi mwenyewe nilikua na wazo la kwenda TCU ila nina wasiwasi kama watakua na process ndefu hivi..

Sent from mE
 
Usiogope nenda tcu watakusaidia kwan nna rfk yngu mwaka jana alkuja had chuo wakagoma wakamwambia aende tcu na tcu wakamubadilishia.
 
Usidanganywe na mtu TCU Watakuzungusha hadi unaamua kurudia kozi yako utakuta CA zimepigwa, kitu cha kufanya unaenda kwa pale utawala unamuona Prof MSOFE, hapa uckubali secretary ajue shida yako maana yake sec akikuuliza shda unasema prof Msofe (Director of undergraduate studies) inawezekana hata kama ni kutoka colege 1 kwenda nyingine, Mimi mwaka jana nilikuwa BSc NURSING nikabadili kwenda BSc MIDWIFERY Na marafiki zangu wengi.
 
Mm nigechangia kama ulikuwa unatafuta msaada wa kuhama chuo. Nakuonea huruma kwa kwenda UDOM, unless umefuata cheti tu siyo elimu. hata uhame course hutapata elimu bali cheti
 
Ni matumaini yangu great thinkers mko poa...naomba anayefahamu kama kuna uwezekano wa kubadili course UDOM anifahamishe tafadhali (kuhama kutoka course moja kwenda nyingine) thanks..

Sent from me

Ngoja nikupe elimu kidogo

Huwezi kubadili course bali unaweza kubadili programme. Programu ni kama BA in Education, Electrical Engineering, etc, etc. Programu moja inakuwa na courses ndani yake. Unachotaka ww ni kubadili Programme
 
Nimewapata baRrrabara wote..nashukuruni kwa maoni yenu..kwa hili nimeamua nianzie TCU kwanza..

Sent from mE
 
wamekuchagua courz ipi mpaka uhame?,ilikuwa hukuichagua ama?,ok kwa ushaur mdogo tu,usikurupuke kwenda corz usiyoielewa mbadala kisa fulan kaenda,eti umesoma hkl unataka uende accounting?,utapata tab mno mwsho utarudshwa nyumban ka s kupata g.p.a mbovu,
 
Mm nigechangia kama ulikuwa unatafuta msaada wa kuhama chuo. Nakuonea huruma kwa kwenda UDOM, unless umefuata cheti tu siyo elimu. hata uhame course hutapata elimu bali cheti

Chuo unahama kwa utaratibu upi?
 
Mm nigechangia kama ulikuwa unatafuta msaada wa kuhama chuo. Nakuonea huruma kwa kwenda UDOM, unless umefuata cheti tu siyo elimu. hata uhame course hutapata elimu bali cheti

thts the end of thinking capacity of ZERO THINKERS
 
Back
Top Bottom