Huwenda haukupewa bidhaa sahihi au haukupewa maelezo sahihi juu ya bidhaa husika ulizopewa uzitumie...Habari wana jamvi..naomba yeyote anaefahamu kuhusu vipodozi kutoka kampuni ya Oriflame aniambie especially vipodozi vya ngozi kuhusu ufanyaji kazi wake..binafsi nimetumia sana but cjawahi kupata positive result..
Nb:nimetumia kwa muda usiopungua miaka miwili..
Habari wana jamvi..naomba yeyote anaefahamu kuhusu vipodozi kutoka kampuni ya Oriflame aniambie especially vipodozi vya ngozi kuhusu ufanyaji kazi wake..binafsi nimetumia sana but cjawahi kupata positive result..
Nb:nimetumia kwa muda usiopungua miaka miwili..
Ntajie bidhaa ambazo ushawahi kutumia, na ulikua unatibu nini?Habari wana jamvi..naomba yeyote anaefahamu kuhusu vipodozi kutoka kampuni ya Oriflame aniambie especially vipodozi vya ngozi kuhusu ufanyaji kazi wake..binafsi nimetumia sana but cjawahi kupata positive result..
Nb:nimetumia kwa muda usiopungua miaka miwili..
Set ya essential...tea tree...novage true perfection..hii set ya novage ndo iliniharibu zaidi..ilhali niliambiwa ndo the best ever set kwa ajil ya chunusi..hizo product zote ni kwa ajil ya oil skin..Ntajie bidhaa ambazo ushawahi kutumia, na ulikua unatibu nini?
Mimi nmetumia for five months lkm skuona any changes though iliniongezea pimpleskajaribu vya forever living products labda
Mimi nmetumia for five months lkm skuona any changes though iliniongezea pimples