Mimi nilimaliza kidato cha nne,tangu mwaka 2009,,nilipata divn 4.27,,,nimeangaika kupata fees kwaajili ya chuo,,lakin mpaka leo imeshindika,,nahitaji kusomea ualimu wa chekechea,,lakin,nimeshindwa kwasababu a karo,,naomba kama kuna mtu anaweza kunisaidia,,either kupata kazi ambayo ntaweza kulipia karo yangu,,au mfadhili wa kunisaidia,,mi nipo mwanza