Wakuu tujipe pole na tuendelee kujikinga na maambukizi ya corona tuendelee kuvaa barakoa na kunawa mikono kwa sabuni na maji tiririka ,moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu jamani Ninaomba kwa mwana jf yeyote yule mwenye mawasiliano ya staff wa wizara ya Afya au mawasiliano ya waziri wa Afya anitumie pm Nina uhitaji mkubwa wa mawasiliano hayo wakuu mwenye hayo mawasiliano plz naomba ani pm nitashukuru sana wakuu