mabuladaud
Member
- Jun 19, 2019
- 15
- 7
MODEM na connect kwenye laptop windows 10 af hii modem ina build in wifi inaconnect ila no internet access shida ni kwamba nataka nitumie ile windows 10 build in mobile hotspot lakini nikiweka tu modem hiyo hotspot inakuwa inactve.Mkuu eka vizuri hapo unatumia vifaa gani na vina os gani, modem una connect kwenye nini na hio hotspot umetengeneza kwenye nini
Na hizo sms dashborad yako ni ipi.
Tumia connectify me, program ya kutengenezea hotspot yenye 3rd party adapter.MODEM na connect kwenye laptop windows 10 af hii modem ina build in wifi inaconnect ila no internet access shida ni kwamba nataka nitumie ile windows 10 build in mobile hotspot lakini nikiweka tu modem hiyo hotspot inakuwa inactve.
Kama ulifanikiwa naomba nami inisaidie.Modem HSPA 3.5G ina soft wifi na nimeunganisha na smartphone yangu lakini ujumbe unaokuja ni "connected.No internet".HAbari zenu wakuu?
Naomba mnisaidie, modem yangu nikiconnect inazima mobile hotspot. Je, niwezeje kushare internet kwenye computer nyingine.
Pia sms zikiingia zingine hazisomeki, yaani zinakuja alama za maneno tu. Nmejaribu ku unistall tatzo bado lipo.