Naomba mnisaidie mwenzenu napata uvimbe baada ya kumaliza hedhi

gwenivia

Senior Member
Joined
Feb 22, 2014
Posts
118
Reaction score
20
Mimi ni kijana wa kike nina tatizo la kupata uvimbe ukeni baada tu ya kumaliza siku zangu kuna mtu nlimwambia akanambia labda inatokana na pedi ninayotumia lakini nilibadilisha na bado tatizo linaendlea.
 
Wahi hospital mapema isije ikawa kansa.....M Mungu akuepushie mbali
Pole sana
 

Attachments

  • 1397153025969.jpg
    17 KB · Views: 144
mimi ni kijana wa kike nina tatizo la kupata uvimbe ukeni baada tu ya kumaliza siku zangu kuna mtu nlimwambia akanambia labda inatokana na pedi ninayotumia lakini nilibadilisha na bado tatizo linaendlea

sio kansa usiwe na hofu.ila ngozi yako ni laini sana inapochomwa na joto la damu ndio husabisha tatizo.michubuko au kipele kimoja kikubwa hakitokei?
 
sio kansa usiwe na hofu.ila ngozi yako ni laini sana inapochomwa na joto la damu ndio husabisha tatizo.michubuko au kipele kimoja kikubwa hakitokei?

ndio hujakosea ni kipele kimoja kikubwa ila sio sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…