Habari za siku nyingi wakuu, katika watu wakongwe hapa JF mimi pia mmojawapo sema nilipotea hapa kati.
Naomba mwenye kujua vizuri namba ya kuagiza vitu uganda kama nguo, viatu begi n k anipm nahitaji msaada wa karibu tafadhali.
Nimesoma Uzi za nyuma zinazohusu biashara za nguo Uganda lakini bado nina maswali.
Tafadhal tafadhal nisaidieni. [emoji120][emoji120]