babuumzuri
Member
- Sep 18, 2020
- 14
- 7
habari wakuu,
naomba mnisaidie namna ya kupata avn number kwa niliyesoma cheti mwaka mmoja na diploma miaka miwili.
pale kwenye maswali ya kuchagua yes or no nachagua nta level ngapi? maana hapo sielewi cheti na diploma wanatumia nta level zipi.