Naomba mnisaidie namna ya kupika kaukau

Naomba mnisaidie namna ya kupika kaukau

iron woman

Senior Member
Joined
Apr 22, 2013
Posts
147
Reaction score
19
jamani wadau naomba mnisaidie namna ya kupika kaukau zile zinakuwa na chumvi zinatengenezwa kwa ngano nadhani na pia huwa zinauzwa mtaani
 
Ndio zipi izo?
ninachojua zinatengenezwa kwa ngano ukiweka mdomoni inakuwa na ladha ya chapati ila yenyewe inakuwa imewekwa na viungo zaidi. nadhani huwa wakishakanda wanasukuma ile manda inakuwa nyembamba then wanaweka katika shape wanayoitaka.
 
Back
Top Bottom