iron woman Senior Member Joined Apr 22, 2013 Posts 147 Reaction score 19 Nov 25, 2016 #1 jamani wadau naomba mnisaidie namna ya kupika kaukau zile zinakuwa na chumvi zinatengenezwa kwa ngano nadhani na pia huwa zinauzwa mtaani
jamani wadau naomba mnisaidie namna ya kupika kaukau zile zinakuwa na chumvi zinatengenezwa kwa ngano nadhani na pia huwa zinauzwa mtaani
F farkhina Platinum Member Joined Mar 14, 2012 Posts 14,568 Reaction score 16,917 Nov 27, 2016 #2 Ndio zipi izo?
iron woman Senior Member Joined Apr 22, 2013 Posts 147 Reaction score 19 Nov 29, 2016 Thread starter #3 farkhina said: Ndio zipi izo? Click to expand... ninachojua zinatengenezwa kwa ngano ukiweka mdomoni inakuwa na ladha ya chapati ila yenyewe inakuwa imewekwa na viungo zaidi. nadhani huwa wakishakanda wanasukuma ile manda inakuwa nyembamba then wanaweka katika shape wanayoitaka.
farkhina said: Ndio zipi izo? Click to expand... ninachojua zinatengenezwa kwa ngano ukiweka mdomoni inakuwa na ladha ya chapati ila yenyewe inakuwa imewekwa na viungo zaidi. nadhani huwa wakishakanda wanasukuma ile manda inakuwa nyembamba then wanaweka katika shape wanayoitaka.