Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa mtizamo wangu maneno yote ni sahihi inategemea unataka kutumia wapi na kwa nani,Ndio na ndiyo
Unayosema ni kweli, kwenye sarufi ya Kiswahili Sanifu gari iko katika "Noun class" li-ya na wala sio i-zi kama nilivyosema mimi. Kwa maana hiyo gari litakuwa halihusiki na ndio/ndiyo bali ndilo.nashukuru kwa maelezo yako lkn je ni sahihi kusema "Gari ile"? au ni "Gari lile"