mansakankanmusa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 4,162
- 796
Asante kwa elimu hii mkuu.Wadhamini wawili waajiriwa wa taasisi yoyote ya serikali na mwingine wa kawaida mwenye barua ya mtendaji wake inayomruhusu kumdhamini mtu. Hao waajiriwa wawe na vitambulisho na barua kutoka kwa waajiri zinazowaruhusu kumdhamini mtu. Ila kama mdhaminiwa anadaiwa zaidi ya mil 10, lazima awe na kitu kama hati ya nyumba ili aweze kudhamiwa! Shida haina adabu, magereza ni ya wote, na wewe unasubiriwa! Wishing u lucky!
Hakuna kigezo cha kuwa na wadhamini wawili walioajiliwa.
Hata hivyo mtoa mada jaribu kuwa wazi kuhusu madai au tuhuma dhidi ya mshtakiwa kwan thaman ya dhaman inategemea aina ya tuhuma.
Pia sidhan kama mchangiaji wa kwanza anafahamu sheria au hayupo serious!