naomba mnisaidie

naomba mnisaidie tofauti ya maneno haya..
kisia,hisi na tabiri..
asante..

Kisia=bahatisha bila uhakika, Tabiri=sema yatakayotokea mbeleni kwa uhakika, Hisi= dhania uwepo wa kitu kwa kutumia milango ya fahamu ya mwili hasa ngozi.
Haya nimekusaidia tayari, nitumie hata vocha ya shukurani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…