AFRIKA ndipo Miujiza yote ya Dunia ilipofanyika. Ikiwemu unga'amuzi wa maadili ya Binadamu.[β] Pamoja na Ukaribu wa Mungu.
==============β ======
Unafikiri UBUNTU umetoka wapi?
Ubuntu ndio Ten Commandments.
Maarifa na Elimu yametokea Afrika na Ushahidi wake unapatikana na Homo Sapiens na sio Neanderthrals(ushahidi upo neanderthrals walitokomea kwa kukosa maarifa).
Na ieleweke, kuanzia Sayansi ya Anga, mpaka Hisabati, Ukemia, Utabibu n.k ulianzia Afrika, mpaka pale wazungu wakiongozwa na Mrumi kwanza alipochoma Alexzandria Library Egypt na baadae wazungu wengine kubomoa Timbuktu Library- zote zikiwa na hazina kubwa ya Elimu za kale(Esoteric) na ambazo zinaendelea kutumika leo hii. Including the Ten Commandments.
Kama Mwafrika Natembea kifua mbele.