GoPPiii. JF-Expert Member Joined Oct 6, 2014 Posts 1,792 Reaction score 3,075 Jan 22, 2023 #1 Habari wakuu, Kuna nyuzi za story zimo humu JF zinahusu mambo ya kishirikina,utajiri wa kishirikina, kuua watu, na zingine zote zinazohusu mambo ya hivo, naomba msaada wa kuwa tagged ili nizijud ziko pande zipi nizisome. Natanguliza shukrani.
Habari wakuu, Kuna nyuzi za story zimo humu JF zinahusu mambo ya kishirikina,utajiri wa kishirikina, kuua watu, na zingine zote zinazohusu mambo ya hivo, naomba msaada wa kuwa tagged ili nizijud ziko pande zipi nizisome. Natanguliza shukrani.
Dormant Account JF-Expert Member Joined Apr 5, 2022 Posts 11,308 Reaction score 32,757 Jan 22, 2023 #2
DR SANTOS JF-Expert Member Joined Mar 11, 2019 Posts 12,846 Reaction score 28,106 Jan 22, 2023 #3 Ingia kwenye profile ya UMUGHAKA
DR SANTOS JF-Expert Member Joined Mar 11, 2019 Posts 12,846 Reaction score 28,106 Jan 22, 2023 #4 Nenda jukwaa la entertainment
reymage JF-Expert Member Joined Aug 5, 2021 Posts 12,203 Reaction score 28,789 Jan 22, 2023 #5 Ngoja nilete yangu
Dormant Account JF-Expert Member Joined Apr 5, 2022 Posts 11,308 Reaction score 32,757 Jan 22, 2023 #6 reymage said: Ngoja nilete yangu Click to expand... Kheee utatutisha usiku usiku Embu Lala huko
reymage JF-Expert Member Joined Aug 5, 2021 Posts 12,203 Reaction score 28,789 Jan 22, 2023 #7 Carrasco putin said: Kheee utatutisha usiku usiku Embu Lala huko Click to expand... [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787] nnazo nyingi
Carrasco putin said: Kheee utatutisha usiku usiku Embu Lala huko Click to expand... [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787] nnazo nyingi
MAWEED JF-Expert Member Joined Oct 11, 2016 Posts 3,550 Reaction score 12,239 Jan 23, 2023 #8 Lengo lako nini hasa!!! Unataka kuwa mganga? Unataka kununua uchawi? Au unataka kumroga mtu
GoPPiii. JF-Expert Member Joined Oct 6, 2014 Posts 1,792 Reaction score 3,075 Jan 23, 2023 Thread starter #9 Santos06 said: Nenda jukwaa la entertainment Click to expand... Shukrn sana.
GoPPiii. JF-Expert Member Joined Oct 6, 2014 Posts 1,792 Reaction score 3,075 Jan 23, 2023 Thread starter #10 MAWEED said: Lengo lako nini hasa!!! Unataka kuwa mganga? Unataka kununua uchawi? Au unataka kumroga mtu Click to expand... Napenda story,movie,vitabu vinavyohusu hayo mambo.
MAWEED said: Lengo lako nini hasa!!! Unataka kuwa mganga? Unataka kununua uchawi? Au unataka kumroga mtu Click to expand... Napenda story,movie,vitabu vinavyohusu hayo mambo.