Naomba mnitajie neno na kiswahili linaloishia na FO lisiwe kifo wala fofofo...?

Naomba mnitajie neno na kiswahili linaloishia na FO lisiwe kifo wala fofofo...?

Anza wewe...mkuu ilishawahi kuja hebu peruzi kidogo
 
:confused2: naumiza kichwa! Wewe Mshana Jr wa upareni au Dar?
 
'umesema sio fofofo wala sio kifo basi tufanye vifo kwa mana hukuweka kwenye limitation yako,nipe marks aisee'
 
Back
Top Bottom