Kichwa Ndio Mtu
JF-Expert Member
- Jan 17, 2014
- 3,079
- 1,711
nenda JF doctor,utakuta Uzi upo juu kabisa unaelezea,kuchangia na kutatua matatizo yako.
Umeandikwaje mkuu.
Dawa na njia mbadala za kupunguza unene/uzito.
Huyu si lolote au chochote. kama anajua kinachoongeza unene kweli asijue kinachopunguza.
Anataka kujaza server tu huyu.
Ila akitaka apungue haraka haraka achepuke na asitumie condom. mawazo tu ya kama kaukwaa au la ni tiba kabisa.
Ndugu,kichwa ndio mtu unataka kufanikiwa kupunguza uzito kuna product inaitwa CLEAN 9,hii product ukiitumia unaweza punguza kilo 4 mpaka tisa kwa siku tisa na wakati ukiwa unaitumia unashauriwa kufanya mazoezi mepesi kama kuruka kamba,kupanda ngazi na kukimbia....for more information u can contact me by 0712047346
Pamoja na msaada wa jf Dr, labda nikusaidie... kwanza sidhani uko kwenye hatari sana... jaribu kuangalia BMI yako pia.... pili.. cha kufanya unaweza ukafanya dieting..na mazoezi ya kutosha... si magumu... recommended ni at least uchape mikono yako mara 3000 kwa siku ukiwa on move.... sasa kama unapenda magari na hutaki kutoka jasho uko kwenye risk ya unene kuongezeka ila frankly BMI yako ni safi... ie below 25.
Kuna dawa niliipata humuhumu JF ni kiboko, "chukua mkopo unaozidi uwezo wako kuulipa"
Kuna dawa niliipata humuhumu JF ni kiboko, "chukua mkopo unaozidi uwezo wako kuulipa"
kwa urefu wako unatakiwa kuwa na kilo 88,hivyo unapaswa kupunguza kilo 2 tu,ukipungua zaidi ya hapo unajitafutia matatizo Mkuu,bado haupo pabaya sana mkuu,jitahidi usiongezeke zaidi ya hapo utakuwa na afya bora
Kichwa ndio mtu acha kiroro hahahahaa kama unapiga najua hutakubali,
Kwanza unitumie dawa yoyote ya kupunguza unene! Diet and some exercise will do