Naomba mpokee baraka hizi tangu sasa!

mimiamadiwenani

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2022
Posts
5,718
Reaction score
7,784
Alhamis njema kwa nyote.

Siku hii ya leo pokea baraka za utajiri
Pokea baraka za majengo
Pokea baraka za magari
Pokea baraka za fedha na dhahabu
Pokea baraka za biashara kubwa kubwa

Mwaka huu shetani anajua utainuka na kuwa mtu mwingine na ndiyo maana anakupiga vita.

Mwaka ujao wa 2024 ukainuke kiviwango, ukajenge nyumba yako,
Ukawe na biashara yako,
Ununue magari makali,

Pokeaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

Haya ni uje umtolee mungu sadaka sasa.

Hatimaye mwaka 2024 unafika ila hali holaaaaa
2025 holaaaaa
2026 holaaaaaa
2027 holaaaaa
Mpaka 2060 holaaaaaaaaa[emoji38][emoji38][emoji28][emoji28]

Unagundua kumbe ulitapeliwa na ulikuwa fursa pasipo kujua, wakati huo una miaka 69 na huna uwezo wa kurudisha muda nyuma. Huna gari huna nyumba, au unayo ila ya hovyo hovyo sivyo kama ulivyoahidiwa.

Sadaka ulitoa na zaka, kila J2 ulikwenda church na kila Ijumaa msikitini kwa kuwahi mapema kuliko wengine.

Unainama unadondoshq chozi, malaika mtoa roho naye unaanza kuuhisi uwepo wake kuonesha your time is over.

Inahuzunisha sana ila ndiyo ukweli
 
Oyaaaa

Waambie watu wafanye kazi. Acha kudanganya umna. Unapokeaje majumba na magari simply kwa Baraka badala ya kufanya kazi kwa bidding.

Hebu usituchoshe mzee.

NB
Mimi ni mkristu kuliko wewe
 
Si kweli hata kidogo walahi!
Hayo yote ni imani yako tu!
Popote utakapo kuwa mradi imani uwe nayo basi utapa unachotaka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…