Ronzobe B29
JF-Expert Member
- Jul 8, 2017
- 242
- 89
Habari wana JF
Kama Uzi tajwa hapo juu, binafsi huwa naona matangazo kwenye app ya kupatana watu wakiuza na kununua vyombo vya usafir kama pikipiki na gari.
Lakin m lengo language in kununua pikipiki used hivyo naomba a_z kwa wale mliowah au mmenunua pikipiki hko kupatana ubora na umilik wa hizo au pengine huenda n za wizi ama in mbovu hasa upande wa injini
N Je nizingatie mambo gan wakati wa kununua...?
Hatua gani nifuate wakati wa makabidhiano..?
Na Je nitagunduaje kwamba chuma in nzima ..?
Pia nanunua kwa ajiri ya matumiz binafsi je, in hatua gan nifuate wakati wa kuibadili kutoka COMMERCIAL kuwa PRIVATE ili npunguze kodi? Na gharama ni kiasi gani?
Nipo sti ya mbele kujuzwa na kupokea ushaur wenu
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]