Principle girl JF-Expert Member Joined Jul 31, 2014 Posts 1,311 Reaction score 1,297 Jun 25, 2017 #1 Habari waungwana Naomba mrejesho kwa aliewahi tumia au anaetumia mafuta ya totem na je yanachubua au?pia ningependa kujua yametengenezwa wapi na bei yake pia ni sh ngapi!
Habari waungwana Naomba mrejesho kwa aliewahi tumia au anaetumia mafuta ya totem na je yanachubua au?pia ningependa kujua yametengenezwa wapi na bei yake pia ni sh ngapi!
rubii JF-Expert Member Joined Feb 22, 2015 Posts 14,032 Reaction score 18,540 Jun 26, 2017 #2 Wewe umeyaona wapi?