NAXFRA JF-Expert Member Joined Jul 28, 2011 Posts 392 Reaction score 74 Jun 17, 2014 #1 Mie nipo wilaya ya Ruangwa mkuoa wa lindi, nina mawazo mawili ya biashara ambayo ni; 1. bookshop 2. studio ya picha na video shooting Naomba msaada kwa wenye idea au uzoefu kati ya wazo moja hapo juu,
Mie nipo wilaya ya Ruangwa mkuoa wa lindi, nina mawazo mawili ya biashara ambayo ni; 1. bookshop 2. studio ya picha na video shooting Naomba msaada kwa wenye idea au uzoefu kati ya wazo moja hapo juu,