KOLOKOLONI
JF-Expert Member
- Mar 7, 2014
- 2,476
- 2,371
Wanajamvini nimekubali jamiiforum ni home of great thinkers.baada kupata hofu kali juu ya dengue na kuchoka kufungua mageti kwa mchina sasa nimefikiria kuanza kupika na kuuza maandazi na skonsi. Mwenye uelewa huu naomba anielekeze jinsi ya kupika hivyo vyakula ili nijikwamue kiuchumi.