Naomba msaada au ushauri juu ya Fundi wa Nissan X-trail

Bonlove

Member
Joined
Feb 2, 2012
Posts
45
Reaction score
5
Habarini na poleni na majukumu,

Ninaomba msaada/ Ushauri juu ya Tatizo la gari langu (Nissan X- trail) nimetumia hili gari zaidi ya miaka 6, shida ilijitokeza kwenye Engine nikafanya uamuzi wa kubadilisha Engine na gear box (niliweka nyingine).

Baada ya kukamilisha hilo zoezi cha ajabu (shida) ni kuwa gari inachanganya kwenye Rejeta (Maji na gear box oil) sijajua cha kufanya fundi amejaribu kutengeneza zaidi ya mara 3, bado tatizo ni hilohilo.

Naombeni Msaada (ushauri) na kama kuna fundi mzuri wa gari aina hii (nissan x - trail) naomba namba yake.

Gari ipo Temeke (Kurasini)
 
Mie siongei mambo mengi. Nenda Kijitonyama barabara ya mabatini ukishapita kituo cha polisi, mbele kidogo mkono wa kulia kuna garage jina silikumbuki vizuri ila kuna neno Star. Hautajuta.

Walinirekebishia gari kwa bei ambayo sikuamini na hadi leo sijajutia jamaa aliyenielekeza kwao. Mie haikua X-trail lakini ni Nissani. Aliyenielekeza kwao alikua na X-trail nayenyewe walimaliza mzizi wa fitna.
 
Shukrani kiongoz
 
vipi fuel consuption na mm nawaza niruke na nissan extrial hasa ya dizel , nadhani nitafaidi sana mzee baba nipe mbili tatu
Consumption ni nzuri sana inatembea hadi km 17 kwa lita. Ina speed nzuri gear6 nzito barabarani. Kwahiyo ninayo kama mwezi wa pili huu ndio naendelea kuisoma. Ila ni nzuri cc 2000 diesel safi sana
 
shukrani boss umenipa nguvu ya kuhamia huko ,huku kwenye petrol ni kisanga tu hakuna unafuu kabisa
 
Kabsa kabsa. Kikubwa ukiiipata zingatia service. Oil yake original na mambo mengine yakawaida tu.
 
Consumption ni nzuri sana inatembea hadi km 17 kwa lita. Ina speed nzuri gear6 nzito barabarani. Kwahiyo ninayo kama mwezi wa pili huu ndio naendelea kuisoma. Ila ni nzuri cc 2000 diesel safi sana
Geer 6 nzito una maanisha Nini Mkuu?
 
Habarini na poleni na majukumu,

Ninaomba msaada/ Ushauri juu ya Tatizo la gari langu (Nissan X- trail) nimetumia hili gari zaidi ya miaka 6, shida ilijitokeza kwenye Engine nikafanya uamuzi wa kubadilisha Engine na gear box (niliweka nyingine).

Baada ya kukamilisha hilo zoezi cha ajabu (shida) ni kuwa gari inachanganya kwenye Rejeta (Maji na gear box oil) sijajua cha kufanya fundi amejaribu kutengeneza zaidi ya mara 3, bado tatizo ni hilohilo.

Naombeni Msaada (ushauri) na kama kuna fundi mzuri wa gari aina hii (nissan x - trail) naomba namba yake.

Gari ipo Temeke (Kurasini)
Kwenye kuchange gearbox na engine make shure ni za hiyo gari, lakini pia shida ipo kwa aliefunga, ni vigumu sana maji ya rejeta kuja kwenye gear box oil, hiyo ni mifumo tofauti na haingiliani.

Fundi amejichanganya wakati wa kufunga hizo pipes, tafuta mtaala zaid afungue au mwenye xtrail kama yako check zile pipes angalia na zako kama zimefungwa the same na za huyo
 
Back
Top Bottom