Naomba msaada: Baba anasumbuliwa na kwikwi

kinundu

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2016
Posts
2,029
Reaction score
2,158
Habari ndugu najua kwenye wengi app haribiki kitu.. na wapo wataalam na waliowahi patwa na hili jambo..

Baba anasumbuliwa na kwikwi tumejaribu kwenda hospital lakini wataalam wamesema hawaoni kitu.. hivyo walimpa ushauri aendelee kunywa maji lakini hakupata nafuu..

Basi akajaribu kwenda kwa wataalam wa kienyeji walau alipewa dawa na kujisikia nafuu.. lakini kaambiwa tena aende j3
Na kuambiwa hilo ni pepo umetupiwa na akapewa mkasa namna ilivyo kua

Kwa ushuhuda nilio upata kwa watu wengi ni kwamba huo ugonjwa walio wengi umewapeleka kaburini na mara nyingi linakuaga pepo mtu kamfanyia tego...

MIMI SIO MDAU WA IMANI YOYOTE ILE ILA NAKARIBISHA MAONI YOYOTE YALE ILI NIYAFANYIE KAZI... AMA KAMA YUPO MTAALAM ASEME NIFANYEJE

AHSANTE..
 
Ndugu umeuliza jambo muhmu sana ajab watu hawakuchangia. Tatzo hill linamkabili ndugu yang. Msaada plz
 
Njoo pm nikuelekeze dawa.baba yangu alipona kwikwi baada ya kumpa dawa hiyo
 
Back
Top Bottom