Naomba msaada doctor, napata maumivu makali wakati wa tendo la ndoa

tqr

Member
Joined
Jul 7, 2017
Posts
61
Reaction score
22
Ninapokuwa nasex na mke wangu huwa napata maumivu makali sana kine shina la uume kiasi cha kukosa raha naomba unisaidie ni nn tatizo
 
Ninapokuwa nasex na mke wangu huwa napata maumivu makali sana kine shina la uume kiasi cha kukosa raha naomba unisaidie ni nn tatizo
jipe muda tu wa kupumzika hata wiki hivi then fanya tena uone kama maumivu yatakuwepo
 
Doctor hulal ***** dih,kwel we docta nmekubal
 
Jamaa atakua na ugonjwa unaitwa pumbulielee,..ulikua unatupata sana enz tulivokua boarding skull miaka hyo shule za boys kwasabab ya kupiga masta
 
Usichukulie kila kitu ni kupiga masta bro na tatizo unalolisema la fangasi za sehem za siri nimelipata sana tokea kidato cha sita but kwa masta siyo kama unakuwa unataka kusaidia mawazo fikili zeni predict but sio coz kwa kile ulichokiongea nimepata wazo mfano fangali as enzi zetu tuliita PD yani pumbu disease
 
But sio siri fangas hizo zilinisumbua sana na mpaka sasa huwa ikifikia mda zinaludi kama unajua plz nambie dawa ya kutibu kabisa
 
sisi tulikuwa tukiita pumbu erosion
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…