Wapendawa nimepata sponsor wa kunisomesha na nipo mbali na hicho chuo kwahiyo naomba nitumiwe FEE STRUCTURE YA POSTGRADUATE YA MUHAS natumaini mtanisaidia

Mkuu KIFPA, fungua website then nenda kwenye admission section then utaona diploma, undergraduate na postgraduate then chagua unayotaka na utaona fees ikoje....