Naomba Msaada, gharama za kuezeka banda la kuku zipoje?

Naomba Msaada, gharama za kuezeka banda la kuku zipoje?

babe S

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
3,879
Reaction score
20,858
Habari!
Naomba kwa anayejua roughly gharama za kuezeka banda la kuku ukaachilia mbao na mabati (specifically gharama za ufundi) lenye ukubwa wa futi 25 kwa 28. Asanteni
 
Mkuu km tayari unavifaa vya ujenzi

Mambo ya fundi ni maelewano tu
 
Back
Top Bottom