naomba msaada hapa kuhusu bodi ya mikopo ya elimu ya juu

naomba msaada hapa kuhusu bodi ya mikopo ya elimu ya juu

Joined
Sep 5, 2012
Posts
14
Reaction score
1
nimesha lipia bodi na nina username na password ila niki login ujumbe huu unakuja [h=1]A Database Error Occurred[/h] Unable to connect to your database server using the provided settings.
naomba msaada ndugu zangu asanteni.
 
nashukuru sana fj senior expert member, natumia mozila na google chrome,vpi unashauri nitumie ipi zaidi?
 
Pole sana. Me co mtaalam sana ila kwa taarifa tu; juzi jpili walianza kuhama (wale wa Dar) toka Msasani kwenda Mwenge na hiyo dipatment ya IT ilikuwa ni mojawapo ya ziloanza kuhama so walidiskonekti netweki, labda bado wanainstoo koneksheni. Ofisi zilizohama ni pamojo na ya MD, FINANCE, HR &IT. Just kwa taarifa tu...
 
Fanya kazi yako saa 8 au saa9 usiku.....siku zinahesabika kaka ikishindikana kawadandie koo uko uko ofisini kwao japo hawataki kuhudumia pale....una siku 5 tu kumbuka hiloo
 
jamani nashukuru sana wadau ilibidi niende bodi nikijua ipo pale tirdo ndo nikaambiwa kwamba wamehamia mwenge kwahiyo bado mawasiliano hayajakaa vizuri ndo mana hakuna network connection,nawashukuru sana kwa msaada.jioni njema wote
 
na mimi nina ndugu yangu hapa amejaribu kurejista mara 18 lakini kila mara anaambiwa kuwa email haimachi mara vocha aliyoingiza hai-exist.

so kipi ndo kipi wadau......!!!!????
 
sasa kaka mimi niko dar hadi sasa nikijaribu inakataa nikaongea na rafiki yangu yuko nje ya dar alikuwa dodoma yeye alifanya bila matatizo nikampa detail akanifanyia bila shida kwahiyo jaribu kucheki marafiki wa mikoa tofauti mana hili tatizo limeanza tangu wahame
 
Back
Top Bottom