Pole sana. Me co mtaalam sana ila kwa taarifa tu; juzi jpili walianza kuhama (wale wa Dar) toka Msasani kwenda Mwenge na hiyo dipatment ya IT ilikuwa ni mojawapo ya ziloanza kuhama so walidiskonekti netweki, labda bado wanainstoo koneksheni. Ofisi zilizohama ni pamojo na ya MD, FINANCE, HR &IT. Just kwa taarifa tu...