Naomba msaada hapo inakuwaje kuhusu kuendelea na elimu ya chuo

ptrick

Member
Joined
Mar 1, 2014
Posts
6
Reaction score
0
Mm nimeanza mtihani wa kidato cha sita Leo lkn ktk usajili GS lilisahaulika na sikugundua mapema coz nilichelewa kuchukua barua sasa sijui majibu yatakuwaje na je yataniwezesha kuendelea au mpaka nirudie mtihani.
 
Si umetoa thread sahivi watu wanakuuliza ushachepukia huku tena mmh we nae kazi ipo
 
Ukifaulu unakwenda ila hata kama ukipata point za division 1 au 2 kwenye matokeo watakuandikia divisio 3 sababu watakupiga penalt kama m2 aliyepata gs=f ila ukipata division 4 au 0 zitabaki hivyo hivyo
 
Mm nimeanza mtihani wa kidato cha sita Leo lkn ktk usajili GS lilisahaulika na sikugundua mapema coz nilichelewa kuchukua barua sasa sijui majibu yatakuwaje na je yataniwezesha kuendelea au mpaka nirudie mtihani.

hapo huwezi pata div one wala two,
 
Back
Top Bottom