Si umetoa thread sahivi watu wanakuuliza ushachepukia huku tena mmh we nae kazi ipoMm nimeanza mtihani wa kidato cha sita Leo lkn ktk usajili GS lilisahaulika na sikugundua mapema coz nilichelewa kuchukua barua sasa sijui majibu yatakuwaje na je yataniwezesha kuendelea au mpaka nirudie mtihani.
Si umetoa thread sahivi watu wanakuuliza ushachepukia huku tena mmh we nae kazi ipo
Mm nimeanza mtihani wa kidato cha sita Leo lkn ktk usajili GS lilisahaulika na sikugundua mapema coz nilichelewa kuchukua barua sasa sijui majibu yatakuwaje na je yataniwezesha kuendelea au mpaka nirudie mtihani.