Mtego wa Noti
JF-Expert Member
- Nov 27, 2010
- 2,591
- 1,616
Mke wangu ana mimba ya miezi 3 sasa juzijuzi usiku wa manane aliamka usiu akaona majmaji yanatiririka sehemu zake za siri. Nikahofu kuwa labda ujauziti umeharibika, nikampeleka hospitali akapimwa na akaona hakuna tatizo ila akaambiwa apunguze kazi. sasa leo tena imemtokea na bado mm nimechanganyikiwa sijui la kufanya maana nilipompeleka hospitali hakupewa dawa yoyote zaidi ya kuambiwa apunguze kazi. Kwa ufupi mke wangu kwa sasa hafany kazi yoyoe zaidi ya kazi za nyumbani. what can I do to make sure that the pregnancy prolongs?
Please help me in this matter!!!
Please help me in this matter!!!