Mtego wa Noti
JF-Expert Member
- Nov 27, 2010
- 2,591
- 1,616
achana na hiyo, ilikuwa ni kabla ya kuowa...kwa sasa nimetulia kama maji mtungini...hivi kumbe una mke ilikuwaje ukaishia morogoro na dada aliyekeketwa...ama!
pole sana,jaribu kumpeleka hospitali tofauti wamcheki tena...
asante sana kwa ushauri. ila nilipomleleka alifanyiwa ultrasound tu..hakupewa hata dawa...
baada ya kuangalia hapa na pale nimeona ya kuwa discharge ni kitu cha kawaida ila maji sio kawaida... nakushauri umwone gynecologist issue inayoinvolve mke wako na mtoto ni very serious comment tu za hapa hazitoshi physical checkup ni bora. lakini as far as i have seen discharge ni kitu cha kawaida.
Apunguze sana hizo unazosema kazi za nyumbani, ni muhimu kama inawezekana asifanye kazi kabisa kwani mimba ni changa, pia ni vizuri kupata ushauri wa wataalamu.baada ya kuangalia hapa na pale nimeona ya kuwa discharge ni kitu cha kawaida ila maji sio kawaida... nakushauri umwone gynecologist issue inayoinvolve mke wako na mtoto ni very serious comment tu za hapa hazitoshi physical checkup ni bora. lakini as far as i have seen discharge ni kitu cha kawaida.
hali hii kwa kweli inaninyima raha kabisa...pls help
asante sana mkuuukama ni discharge na ni kitu cha kawaida basi hakina dawa... lakini mpeleke akachekiwe upate second opinion
mtego wa noti pole sana. For yo info kazi za nyumbani i nyingi sana na zinamchosha mama mjamzito. Jaribu kumpunguzia kazi asiiname sana wala kusimama muda mrefu. Ata akienda hosp hatapewa dawa maana c ugonjwa. Hope this will help.
inawezekana kabisa unalosema. siku ilipotokea, she had a busy day, same as today...she has been busy all the day, si unajua tena x-mass. let me try to check gynasApunguze sana hizo unazosema kazi za nyumbani, ni muhimu kama inawezekana asifanye kazi kabisa kwani mimba ni changa, pia ni vizuri kupata ushauri wa wataalamu.
kama ni discharge na ni kitu cha kawaida basi hakina dawa... lakini mpeleke akachekiwe upate second opinion
thanks a lot tatiana...
Rudi tena hospitali haraka sana, ikiwezekana hospitali tofauti na ile ya kwanza. Kama bado ushauri ni wa kupumzika basi apumzike kweli na kuacha kabisa kazi nzito na ambazo inambidi asimame kwa muda mrefu sana na pia ainame kwa muda mrefu. Kama unaweza kupata mtu wa kuwasaidia kazi za nyumbani basi itakuwa ni vizuri zaidi ili kuhakikisha ujauzito wenu unafikisha muda unaostahili. Kila la heri.
MERRY XMAS