Naomba msaada haraka jameni

naona kama kuna post uliweka halaf umeiondoa...ilikuwa inasema kuhusu kuwa hiyo discharge ni cleaning of the vagina.. hii inawezekana kwa mjamzito?maana wale walikuwa ni kama ndio wameanza kupata hedhi.

Ndio maana niliondoa sababu hapa ilikuwa haiusiki lakini usipanick hii itakuwa normal lakini this issues sio ya kuichukulia kwa juu juu tu muone daktari mwingine na mfate ushauri wake..... pia hakikisha na mama unampa moyo sababu stress na kupanick sio bora kwa wakati huu mwambie kwamba hii ni issue simple na ya kawaida ila apumzike.....
 
hope this helps:-
<H3>Is it my imagination or do I have a lot more vaginal discharge now?
</H3>
 
absolutely...this is of great help...thanks again for taking your time in digging out these important issues. It is a great job...thanks a lot mkuu
No problem Mkuu thats what we are here for...... Kusaidiana.....
 
pole sana na hongrea kwa mke wako kuwa na mimba ..uwe unampeleka kuchekiwa kila inapobidi usifuate nguvu za giza
 
pole sana na hongrea kwa mke wako kuwa na mimba ..uwe unampeleka kuchekiwa kila inapobidi usifuate nguvu za giza
thanks for you comment and congrats...i will do as you advice.
 

Jihadhali sana na hospitali unayompeleka mke wako. Huduma za afya nchini sasa zimegeuka kuwa ni biashara tu. Nakushauri uende mahali penye huduma za uhakika ili mkeo achunguzwe seriously.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…