Naomba msaada, hasa kwa medical students au doctors!

Naomba msaada, hasa kwa medical students au doctors!

ishengom

Senior Member
Joined
Jul 23, 2012
Posts
152
Reaction score
67
Mimi n medical student nipo mwaka 6 katika nchi x huku nje ya nchi, ni mwaka wangu wa mwisho ila nilitaka kufaya internship tanzania nyumbani, chuo changu huku kipo tayari kuniruhusu na ipo hvyo unapomaliza mwaka wa 6 unaweza kufanya internship popote pale na wanakupa papers zitakazo kutambulisha, ss tzo langu ni hili nimejaribu kuliza kwa baadhi ya watu wanasema wizara haitambui mtu kama hujaenda na degree,

Hapo ndo iwenye ttzo langu naomba ushauri kwa waliofanya hili au kwa yyte anayejua khsu hili swala, ili nikifakikwa niweze kuserve mwaka, kwa mana kama nikifanya intern huku nikapewa na degree nikirudi nyumbani nitatakiwa kufanya tena, na ndio kitu ninachotaka kukiizuia
 
Back
Top Bottom