kun wa bongo
Member
- Jan 3, 2018
- 15
- 12
Mara baada ya kufanya ngono na mpenzi wangu alisema anahisi kama kuna uwazi halafu maji yanaingia.
Je hii ni dalili ya kwamba mimba imeingia?
Je hii ni dalili ya kwamba mimba imeingia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anangoja miez mitatu mbele akachek ukimwi,, baada ya wiki mbili akacheki mimba ,,very simpleSijui huko aliko anajisikiaje baada ya kusoma post yako.[emoji28] [emoji28] [emoji28]
Tayari!!Mara baada ya kufanya ngono na mpenzi wangu alisema anahisi kama kuna uwazi halafu maji yanaingia.
Je hii ni dalili ya kwamba mimba imeingia?
Weeee mshenzi umenivunja mbavu duuuhhh ..... Nifanye nikubebe tu kama Rose muhando alivyobebwa na bwana wa majeshi.Kibokooo