Naomba msaada ili nijikimu wana jf

Ally jameison

New Member
Joined
Feb 28, 2020
Posts
4
Reaction score
0
Habari za muda huu, NATAFUTA KAZI ya usimamizi mauzo, usimamizi viwandani, usimamizi miradi, kampuni yyote n.k
Au kama una connection ya kazi yoyote tuwasiliane.
Nipo morogoro mjini. Namba yangu 0738231441(inapatikana whatsapp pia)
 
pole mkuu,ila napata tabu kidogo,yaani unaomba kazi ya usimamizi wa mauzo au kiwandani.....yaani kirahisi rahis tu, upate shavu la kusimamia mauzo,yaani uwe boss kuliko uliowakuta.....najua kunasehemu umesema na kazi yoyote,ila unaonekana unapenda kazi ya wewe kuwa boss, any way lengo langu ni kukuwek sawa tu kuwa badala ya kutaka kazi ya kuwa msimamizi, omba kwanza kazi ya kuuza bidhaa,ukifanya vizuri ni rahisi kupewa nafasi ya kuwa msimamizi wa mauzo ya hiyo bidhaa,nisamehe ndugu kama utanichukulia negative. cha msingi wadau tumsaidie kw yule anaweza kumpa msaada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…