Ktk kucheki kumbukumbu zangu nimegundua vyeti vyangu vya secondary both olevel na A level vimepotea sasa naomba ushauri nn nifanye ili kupata vingine,yeyote ambaye alishapata ttzo km ili.......plz
Ktk kucheki kumbukumbu zangu nimegundua vyeti vyangu vya secondary both olevel na A level vimepotea sasa naomba ushauri nn nifanye ili kupata vingine,yeyote ambaye alishapata ttzo km ili.......plz
Vyeti vikishatolewa mara moja kama original sidhani kama vinatolewa tena kwa mara ya pili.
Jambo la msingi hapa, toa taarifa polisi, kisha nenda baraza la mitihani wape taarifa wakutengenezee vyeti vya ushahidi wa attendance yako ya secondary school education.
Hakuna plan C mkuu, fuata hiyo njia!
vipi ulishatoa taarifa gazetini ya kupotelewa vyeti vyako?