Naomba msaada jamani!!

lutamyo

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2011
Posts
641
Reaction score
159
Ndugu zangu wana JF leo nililazimika kuja ara moja Dar kuja kumuona Mlezi wangu ambaye ni mjomba yangu anaumwa sana jamani kule alipopata vipimo aliambiwa anatatizo la Inni sasa huku kila siku ni vipimo tu mgonjwa anazidi kuumia sasa mimi nahitajiujua kama hapa Tanzania tuna maspecialist katika hili. Kama hawapo huko nairob na India gharama zake ni kama kiasi gani??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…