Naomba msaada jina la Bidhaa

GreatMkubwa

Member
Joined
Jun 25, 2012
Posts
99
Reaction score
57
Habari za humu wadau. Naomba mawazo ya majina naweza kutumia katika bidhaa zangu na yakasound vizuri.
Nataka kuweka kwenye label za Asali, Mafuta ya Kupaka na Sabuni - Herbal..
Naomba product names ideas... bidhaa ninazo ila changamoto ni jina zuri kibiashara.
Asanteni sana
 
Asali ita NZUKI
Mafuta ita PAKAA
Sabuni ita SOP
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…